Burudani

Joti afunguka ujumbe aliopewa na wazazi wake

Mchekeshaji Joti ambaye amefunga ndoa wikiendi iliyopita na mpenzi wake wa siku nyingi Tumaini Hassan, amefunguka ujumbe aliopewa na wazazi wake.

Kupitia mtandao wa Instagram, Joti amesema kuwa wazazi wake wamemtaka katika maisha yake aishi vizuri na watu kwa maana pesa zitabaki mfukoni.

Kupitia mtdanao huo, Joti ameandika:

Wazazi waliniambia ktk maisha yangu silaha yangu ya kwanza iwe ni watu na sio pesa,kwa maana pesa itabaki mfukoni na bank tu,ila watu watakufuata popote ulipo kama utaishi nao vizuri,Nawashukuru sana mliofika Kanisani/Ukumbini,pia hata wale ambao hawakupata nafasi ya kufika pia ila kwa Dua zao jambo hili limekwenda vizuri,Asanteni…

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents