Tupo Nawe

Joti amweka ndani mume wa Ex wake kwa madai ya kutorosha mtoto (Audio)

Ex wa Joti aitwae, Habiba ambaye alifanikiwa kuzaa mtoto mmoja na mchekeshaji huyo, amejikuta katika wakati mgumu baada ya mume wake kusweka ndani na Joti kwa madai ya kutorosha mtoto.

Wawili hao Jumanne hii walifika Ustawi wa Jamii Kinondoni jijini Dar es salaam kwaajili kusuluhisha masuala ya mtoto kwani Joti hataki mtoto akae na mama yake.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW