Michezo

Jovetic ajiunga na klabu hii ya Hispania kwa mkopo

Mshambuliaji wa klabu ya Inter Milan ya Italia Stevan Jovetic amekamilisha uhamisho wa mkopo wa kujiunga na klabu ya Sevilla ya Hispania.

Jovetic ambaye ana umri wa miaka 27, amekuwa hapati nafasi katika kikosi cha kwanza cha Inter Milan, amekabidhiwa jezi namba 16 ya Sevilla ameungana na mchezaji mwenzake wa zamani wa Manchester City, Samir Nasri.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents