Siasa

JPM amemteua Mama Samia kuwa mgombea mwenza kwa awamu nyingine ya pili (+Video)

Mgombea Urais wa  @ccm_tanzania Ndugu @MagufuliJP amemteua Makamu wa Rais @SuluhuSamia kuwa mgombea mwenza kwa awamu nyingine ya pili.

“Nilipomteua Mama Samia kuwa Makamu wa Rais mwaka 2015 sikuujua utendaji kazi wake vizuri lakini ni mchapakazi, anajituma pia ni mzuri, Wasukuma tunapenda weupe, ukiwa na Msaidizi mweupe hata ukiwa na stress zinaisha, nimeamua awe tena Mgombea mwenza wangu”“Kwa kipindi nilichofanya kazi na Mama Samia nimejifunza mambo mengi sana, kupitia Mama Samia nawahikikishia nitakuwa mtetezi mzuri wa Wanawake, Mama Samia nikimtuma popote hakatai kama ilivyo nyie akina Mama mkitumwa hamkatai, nampa tena Ugombea mwenza

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents