Siasa

JPM aongoza kikao cha kamati kuu ya Halmashauri kuu ya Taifa CCM Dodoma

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichoketi leo tarehe 9 Julai 2020 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Hall Jijini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kabla ya kuanza kikao wakisimama kimya kwa dakika moja kutoa heshima zao kwa ajili ya kifo cha Mzee Job Lusinde, aliyekuwa sehemu ya waasisi, mjumbe wa Baraza la Wadhamini la CCM na Kiongozi katika Chama na Serikali.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents