Siasa

JPM: Kama yapo mabaya hii miaka mitano tulifanya pamoja na nyie, kama yapo mazuri tulifanya pamoja (+Video)

”Kama yapo mabaya tuliyofanya kwenye hii miaka mitano basi tulifanya pamoja na nyie, lakini kama yapo mazuri tuliyofanya basi tulifanya pamoja, na kwa maneno haya naufungua rasmi mkutano mkuu huu”,

”Nimefurahi kuwaona wazee wote hapa, Mzee Lowassa, Mzee Kinana, Mzee Msekwa, Mama Makinda na hii ndio Tanzania, kwa nchi nyingine ni ngumu sana kuyaona haya, lakini yote kwa yote haya ni kwa sababu ya CCM”

https://www.youtube.com/watch?v=whwwetWUM6M

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents