Siasa

JPM: Ningeomba Jeshi la Polisi wakiendelea na uchunguzi, mkuu wa shule wamuachie ili wajue kulikuwa na ajali au uzembe (+Video)

“Kutokana na msiba uliotupata nazihimiza mamlaka zote husika TAMISEMI na Wizara ya Elimu kuhakikisha shule zote zinazingatia masuala ya usalama kabla na baada ya kuanzishwa ili madhara ya moto katika shule zetu yasijirudie tena”

“Mimi ningeomba Jeshi la Polisi wakati wakiendelea kufanya uchunguzi, mkuu wa shule wamuachie ili wajue kama kulikuwa na ajali kweli au uzembe kwa sababu hata akiwa nje ataendelea kushirikiana na Polisi kutoa taarifa”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents