Siasa

JPM: Mtu anakuja anasema mbona hamjapandisha mishahara?, ukishampandisha Mtu daraja mshahara wake haubadiliki? (+Video)

Unasema unawapenda Wafanyakazi eti utawaongeza mishahara halafu haohao unawaita Majalala, kwahiyo Wakuu wa Wilaya Majalala, Polisi, Walimu na Wanajeshi wote Majalala? Kwamba nimewaokota?, Ndugu zangu Wafanyakazi nadhani mmeanza kuona mapema” Mtu anakuja anasema mbona hamjapandisha mishahara?, ukishampandisha Mtu daraja mshahara wake haubadiliki?, tumerekebisha PAE kutoka 11% hadi 9%, tumelipa malimbikizo ya Wafanyakazi zaidi ya Bil 500 hiyo sio fedha!?”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents