Habari

JPM: Mzee Mkapa alikuwa na sifa ya kulea vipaji vya uongozi na kuvikuza, yeye ndiye aliniibua mimi (+Video)

“Mzee Mkapa alikuwa na sifa ya kulea vipaji vya uongozi na kuvikuza, yeye ndiye aliniibua mimi lakini kama mtakavyokumbuka alimchagua mzee Kikwetee kuwa Waziri wa Mambo ya Nje miaka 10 ambaye baadaye alikuja kurithi kiti chake cha Urais”

https://www.youtube.com/watch?v=ztomgUyBm_M

https://www.youtube.com/watch?v=h0WSpEErEb8

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents