Siasa

JPM: nataka tu nieleze ukweli Kitwanga alinisumbua sana kwenye baadhi ya miradi hata ujenzi wa barabara (+Video)

“Mimi nataka tu nieleze ukweli,  nilikuwa na Mbunge hapa Mh Kitwanga alikuwa ananisumbua sana, baadhi ya miradi nataka kuwaeleza mipango iliyofanyika hapa ni mingi hata hii Barabara haikuwepo katika kipindi cha miaka mitano tuliifanya na aliyenisumbua ni Kitwanga, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni alinisumbua sana ujenzi wa barabara hiyo”

Dkt Magufuli ametoa kauli hiyo hii leo Septemba 8, 2020, wakati akizugumza na kumnadi mgombea wa sasa wa Jimbo la Misungwi, Alexander Mnyeti katika eneo la Usagara.

https://www.youtube.com/watch?v=–8_K8i_n90

https://www.youtube.com/watch?v=mkdIZEWJvrY

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents