Habari

JPM: Natangaza siku 7 za maombolezo, bendera zote zipepee nusu mlingoti

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli ametangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Tanzania Benjamin William Mkapa.

Mbali na kutangaza msiba huo mkubwa wa kitaifa pia ametangaza siku 7 za maombolezo na kueleza kwamba katika kipindi chote cha maombolezo ambacho ni siku 7, bendera zote nchini zipepee nusu mlingoti.

https://www.youtube.com/watch?v=NtoopePR1Lc&t=1s

https://www.youtube.com/watch?v=oQnJ9BW-dFw

https://www.youtube.com/watch?v=C3P4OcV24Rk&t=14s

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents