Siasa

JPM: “Nawashukuru Wenyeviti wa Mikoa, mmepata lawama wengi walitaka kudhamini karatasi zikapungua naomba radhi (+Video)

“Nawashukuru sana Wenyeviti wa Mikoa yote mliamua ninyi wenyewe kwamba hizo fomu za wadhamini niwaletee ili mimi nisihangaike kuzunguka kila mahali, mmepata lawama watu wengi walitaka kudhamini lakini karatasi zikawa zimepungua ninaomba radhi sana”

https://www.youtube.com/watch?v=Ge5QDFziDIo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents