Burudani ya Michezo Live

JPM: Niliogopa kumuuliza Mzee Mwinyi azikiwe wapi ana miaka zaidi ya 90, angehisi nimemletea uchuro (+Video)

“Niliogopa kumuuliza Mzee Mwinyi azikiwe wapi kwa sababu alikuwa na miaka zaidi ya 90, nikaona nikimuuliza halafu likatokea la kutokea nitaonekana mimi nimemletea uchuro, na mimi nitazikwa Chato, nikaona hilo eneo labda atazikiwa Mzee Malecela, Mkapa alipenda kwao, kwenye hili Watanzania tujifunze, Mzee Mkapa angeweza kuzikwa DSM au Lushoto, lakini ndani yake alitaka azikwe mahali alipozaliwa, najua Maaskofu mnaniangalia sana kwa sababu ninyi huwa mnazikwa kwenye Makanisa”

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW