Siasa
JPM: Siwezi kuzungumza uongo mbele ya Maaskofu, Mapadre na Mashekhe, ninatamani kuupata Ufalme wa Mbinguni (+Video)
“Siwezi kuzungumza uongo mbele ya Maaskofu, Mapadre na Mashekhe, sababu ninatamani kuupata Ufalme wa Mbinguni nitakapotangulia mbele ya haki, mkitupa 5 mingine sina hakika kama miaka 3 tutamaliza kila Kijiji kitakuwa na umeme”