Siasa

JPM: Tanzania nzima tuna watumishi 556,000, juzi tumetangaza kuajiri watumishi wengine 13,000 walimu watakaofundisha msingi na sekondari (+Video)

Kutoka Dar kwenda Dodoma tumeajiri watu zaidi ya 10,000, Tanzania nzima tuna watumishi 556,000, juzi tumetangaza kuajiri watumishi wengine 13,000 walimu watakaofundisha shule za msingi na za sekondari” Dkt. John Pombe Magufuli – Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents