Siasa

JPM: Tumeajiri watumishi wa afya zaidi 14,000 sio hawa wansema tutatengeneza ajira mil 12 hawajui hata mikakati (+Video)

“Tumeajri madktrari zaidi ya 1,000, tumeajiri watumishi wa afya zaidi 14,000, tunataka tutengeneza ajira milioni nane, sio hawa wanaozungumza tutatengeneza ajira milioni 12 hawajui hata mikakati ya kutengeneza ajira, huwezi ukaplan kutengeneza ajira wakati unasema ndege zisinunuliwe” Dkt. John Pombe Magufuli – Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents