Siasa

JPM: Tulizuiwa kuwinda wanyama wetu, walizigeuza ni sehemu zao za uwindaji nikazifuta kuwa, Mbuga ya Mwl. Nyerere (+Video)

“Tuna mbuga zetu ambazo tulizuiwa hata kuwinda wanyama wetu, lakini wao walizigeuza kuwa ni sehemu za uwindaji nikazifuta na kufanya kuwa, Mbuga ya Mwl. Nyerere lengo ni kila Mtanzania anufaike na rasilimali zetu” JPM  leo Dodoma akirudisha fomu ya kugombea urais.

 

https://www.youtube.com/watch?v=Ge5QDFziDIo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents