Siasa
JPM: Uongozi huwa haujaribiwi kama limao, uongozi unapimwa na sisi ndugu zangu mmeshatupima (+Video)
“Uongozi huwa haujaribiwi kama limao, uongozi unapimwa na sisi ndugu zangu mmeshatupima, tulisema tutatengeneza barabara ya Mwigumbi sasa mtupe tena tukatengeneze barabara ya Bariadi mpaka Sibiti, watu muwe mnapasua tu hapa”