Siasa

JPM: Mtu anasimama ameshiba Ugali anasema eti Ndege hazina faida yeye alikotoka huko alikuja na bajaji?

“Tunatengeneza maisha ya watoto wetu inawezekana sisi kwa umri wetu tusiyafaidi, tunahitaji maendeleo ya jumla ya Watanzania wote, mtu anasimama ameshiba Ugali anasema eti Ndege hazina faida yeye alikotoka huko alikuja na bajaji?

“Uongozi ni kutoa sadaka, nimeamua kutoa maisha yangu ya uongozi kama sadaka kwa Watanzania, hii kazi ndugu zangu ni ngumu lakini ninaweza kuifanya tena kwa miaka mitano”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents