MichezoUncategorized

Julio ampongeza Samatta kwa kukumbuka nyumbani, aiwasha Simba baada ya matokeo mabaya Kenya (Video)

Kocha wa timu ya Mbwana Samatta, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amempongeza mshambuliji huyo hodari wa KRC Genk ya Ubelgiji kwa uamuzi wa kuandaa mechi ya hisani kati yake na muimbaji Alikiba kwaajili kuchangia pesa zitakazosaidia sekta ya elimu nchini Tanzania. Katika hatua nyingine Julio ameziponda klabu za Tanzania zinazoshiriki michuano ya SportPesa Super Cup kwa madai zimeonyesha ni jinsi gari ligi ya Tanzania ilivyo mbaya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents