Burudani

Juma Lokole adai ana mashaka na penzi jipya la Uchebe na Agness “Nimesikia ni kiki tu” (Video)

Mpenzi mpya wa Uchebe, Agness alikuwa kwenye kipindi Wasafi Fm ambapo kwa mara ya kwanza alifunguka mambo mengi.

Mrembo huyo amekiri kuwa na mtoto mdogo kama baadhi ya taarifa mitandaoni zilivyokuwa zinadai kwamba mwanamke huyo ana mtoto mchanga huku wengine wakienda mbali zaidi kwa kudai kwamba ni mke wa mtu.

Juma Lokole ambaye alikuwa mmoja kati ya watangazaji wa kipindi hicho ametoa maoni yake kwa kudai kwamba kwa taarifa ambazo alipewa ni kwamba mrembo huyo sio kweli ni mpenzi wa Uchebe.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents