Michezo
Jumapili tuna Ubwabwa klabuni, Wanaoenda FIFA tukutane huko – Haji Manara (+Video)
Afisa habari wa Mabingwa wa nchi, Haji Manara amesema kuwa kesho tarehe 14/08/2020 klabu ya Simba inatarajia kuzindua wiki yao maarufu kama Week ya Simba ambayo inatarajiwa kilelechake kuwa ni tarehe 22/08/2020.