Burudani

Justin Bieber aachia video ya “Beauty And a Beat” featuring Nicki Minaj

Katika jitihada za kuongeza hamu kwa mashabiki wake kwa ujio wa video ya wimbo wake mpya “Beauty And A Beat” featuring Nicki Minaj, Justin Bieber na kambi yake walidai kuwa “footage”iliibiwa kwenye computer yake na kufanya vyombo vya habari vianze kunusa nusa kama kuna uwezekano wa kupata picha zake za utupu na pengine sex tape na mpenzi wake Selena Gomez. Kumbe hiyo ilikuwa imepangwa.

Na sasa video ya “Beauty And A Beat”imetoka na wimbo huo unapatikana kwenye albam yake ya na is off of Justin Believe.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents