Burudani

Justin Bieber atabiria mema kwa Conor McGregor na kumkacha rafiki yake

Msanii wa muziki Justin Bieber, amegoma kutoa utabiri wa ushindi kwa shahiba wake Floyd Mayweather, kuelekea katika mpambano wa ngumi na bondia Conor McGregor.

Pambano hilo linalotarajiwa kufanyika wiki ijayo, msanii huyo ametabiri kuwa Conor McGregor ndiyo atakuwa mshindi wa pambano hilo, huku akishindwa kusema kumtetea shwahiba wake Mayweather kunyakua ubingwa.

Wiki iliyopita Mayweather, alitamka katika vyombo vya habari kuwa ataibuka bingwa katika pambano hilo kwa kumuondoa mpinzani wake kabla ya round 12 na kujikuta atapata ushindi wa K.O.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents