Burudani

Justin Bieber na Taylor Swift watamba kwenye MTV Europe Music 2012

Jana usiku tuzo za MTV Europe Music zimetolewa jijini Frankfurt, Ujerumani.

Taylor Swift na Justin Bieber ndio waliotamba zaidi kwa kunyakua tuzo 3 kila mmoja ambapo Taylor alishinda Best Female, Best Live and Best Look.

Justin Bieber, hakuwepo kwenye tuzo hizo lakini alitengenezwa vichwa vya habari vingi weekend hii kwa habari kuwa ameachana na mpenzi wake Selena Gomez. Hata hivyo alishinda tuzo 3, Best Male, Best Pop na Best World Stage

List nzima ya washindi wa MTV EMA 2012:

Best Female
Taylor Swift

Best Male
Justin Bieber

Best New Act
One Direction

Best Song
“Call Me Maybe,” Carly Rae Jepsen

Best World Stage
Justin Bieber

Best Video
“Gangnam Style,” PSY

Best Rock
Linkin Park

Best Pop
Justin Bieber

Best Look
Taylor Swift

Best Alternative
Lana Del Rey

Best Hip Hop
Nicki Minaj

Best Live
Taylor Swift

Biggest Fans
One Direction

Best PUSH
Carly Rae Jepsen

Global Icon
Whitney Houston

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents