Burudani

Justin Timberlake kutumbuiza kwenye ‘Super Bowl 52 Halftime Show’ mwakani

Justin Timberlake amethibitisha kuwa atatumbuiza kwenye mapumziko (half time) ya fainali ya Super Bowl 52 itakayofanyika mwakani.

Kupitia mitandao yake ya kijamii, muimbaji huyo amethibitisha hilo kwa kuandika, “I DO have the time. Half the time…#PepsiHalftime #SBLII @Pepsi @NFL @JimmyFallon @FallonTonight.”

Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa msanii huyo kutumbuiza kwenye fainali hizo zitakazofanyika Februari 4, 2018.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents