Burudani

Justine Skye aachia albamu yake ya kwanza, Wizkid ndani

Je umekuwa ukitamani kuisikia albamu ya Justine Skye? Mrembo huyo kutoka lebo ya Roc Nation ya Jay Z ameachia albamu yake ya kwanza iitwayo ‘Ultraviolet’ Ijumaa hii.

Albamu hiyo ina nyimbo 10 huku akiwa amewashirikisha wasanii wawili akiwemo Wizkid na Jeremih.

Ngoma ambazo zinapatikana kwenye albamu hiyo ni pamoja na ‘Wasteland’, ‘Goodlove”You Got Me’, ‘Good Love’, ‘Don’t Think About It’, ‘You Got Me’, ‘Heaven’, ‘Push Ya’, Lil’ Boy’, ‘Best For Last’, ‘Back for More’ ambao amemshirikisha Jeremih, na ‘U Don’t Know’ ambao amemshirikisha Wizkid.

Albamu hiyo kwa sasa imeanza kuuzwa kupitia mtandao wa Apple Music.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents