Michezo

Juventus yamsajili mshambuliaji kutoka Croatia, Mario Mandzukic

Juventus imemsajili mshambuliaji kutoka Croatia, Mario Mandzukic kwa gharama ya pound milioni 13.6 kutoka Atletico Madrid.

29DEFB0B00000578-3134936-image-a-74_1434996592749

Mshambuliaji huyo alijiunga na Atletico mwaka jana akitokea Bayern Munich na kupachika mabao 20 katika mechi 43 alizocheza. Amesaini mkataba wa miaka minne.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents