Burudani

Jux adai hataachia wimbo mpya mpaka ‘Looking For You’ ifikishe views mil 1 YouTube

Jux ameamua kujipa changamoto ngumu. Muimbaji huyo amesema hataachia wimbo mpya hadi pale video ya wimbo wake Looking For You itafikisha views milioni moja kwenye mtandao wa Youtube.

3b4c0a35c503b6623a260af30d902861

“Lets hit 1 million views on this Looking for you and I will drop a new ,” ameandika kwenye Instagram.

Tatizo ni kuwa hadi sasa wimbo huo una views zaidi ya 270,000 tu.

Unadhani atafikia namba hiyo mapema?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents