Habari
Jux amchukua director wa Ghana, Zeddy Benson kufanya video yake ya ‘Uzuri Wako’
Mwanamuziki wa kundi la Wakacha, Jux aliyepo masomoni nchini China, amemchukua muongozaji wa video raia wa Ghana anayesoma pia nchini humo, Zeddy Benson, kufanya video ya wimbo wake ‘Uzuri Wako’
Hizi ni baadhi ya picha za Jux alizoweka kwenye akaunti yake ya Instagram za uchukuaji wa video hiyo.
Jux akiwa na mrembo kwenye shooting ya video hiyo
Director wa video hiyo, Zeddy Benson akiwa na model huyo
Zeddy Benson kazini