Burudani

Jux na Vanessa Mdee wana ngoma nne walizorekodi pamoja

Jux na Vanessa Mdee wamesharekodi nyimbo nne pamoja.

Jux n vee-1

Jux ambaye wiki hii ameachia video ya wimbo wake ‘One More Night’ amesema nyimbo hizo zitaanza kutoka mwakani.

“Tumerekodi nyimbo kama nne zipo studio. Muda ukifika hata mwakani zitatoka. Management ya Vanessa ikiwa tayari kutoa na management yangu ikisema tayari tutoe tutashoot video na baadaye utatoka,” Jux amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents