Habari
K-Lyinn ajifungua watoto mapacha
Aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Jackline Ntuyabaliwe aka K-Lynn amejifungua watoto mapacha.
Kwa mujibu wa vyanzo, K-Lyinn amejifungua mapacha wa kiume wenye afya njema.
Bongo5 inampongeza Jackline kwa kujifungua salama.