Michezo

Kabla ya pambano dhidi ya Anthony Joshua bondia Joseph Parker amtafuna samaki mbichi

Bondia wa uzito wa juu nchini New Zealand, Joseph Parker ameonekana akimtafuna samaki mbichi kwa jaziba kitendo kilichotafsiriwa kuwa yupotayari kupigana na Anthony Joshua katika mpambano wao wa ubingwa wadunia wa WBA, IBF, WBO na IBO utakaofanyika Machi 31 ya mwaka huu.

Parker mwenye umri wa miaka 26 ambaye anarekodi ya kutokupigwa hata pambano moja kati ya 24 aliyoshuka ulingoni amenuwia kuvunja rekodi ya Joshua siku hiyo.


“Nimeamua kumtafuna samaki huyu mbichi maeneo ya kchwani na kumuua, bingwa wa dunia wa WBO lazima ukumbuke hili,”amesema Parker ikionekana kama mkwara kwa bondia mwenzake Anthony Joshua ambaye anatarajia kukutana nae katika ulingo mwezi Machi.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents