Habari
KABUDI: Hayati Benjamin Mkapa alifariki kwa ugonjwa wa Moyo kusimama ghafla (+Video)
“Hayati Benjamin William Mkapa, alifariki kwa ugonjwa wa Moyo kusimama ghafla, ulioandamana na Malaria, Julai 23, 2020, majira ya saa 3:30 usiku akiwa na umri wa miaka 81” – Profesa Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje.
https://www.youtube.com/watch?v=d_XPJrIROa0
https://www.youtube.com/watch?v=kkPblggQwEg
https://www.youtube.com/watch?v=X0M36w5h-uc
https://www.youtube.com/watch?v=h0WSpEErEb8