Kajala achoshwa na maisha ya upweke ‘nikipata mwanaume naolewa’ (+video)

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Kajala Masanja amesema kuwa endapo atapata mume mwenye sifa anazozitaka basi huu mwaka hautapita atakuwa ameolewa kwani hapendi maisha ya upweke.

Kajala kwenye mahojiano yake na Bongo5 amefunguka pia kuhusu tukio la kupigana busu na aliyekuwa mume wake P-Funk ambapo watu wengi wanadai kuwa wawili hao wamerudiana.

Tazama video za matukio mbali mbali ambayo yalikupita hapa chini:

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW