Burudani

Kaka wa Nicki Minaj hatarini kwenda jela miaka 25

Kaka wa rapper Nicki Minaj, Jelani Maraj amekutwa na hatia ya kumnyanyasa kingono mtoto wa miaka 11.


Picha ya Nicki Minaj akiwa na kaka yake Jelani Maraj

Jelana (38) alishtakiwa katika kesi hiyo ya unyanyasaji huo kwa mtoto aliyefahamika kwa jina la Long Island.

Kesi hiyo ilidumu kwa takribani wiki tatu mahakamani hukumu yake inatarajiwa kutoka Alhamisi ya Disemba 14 mwaka huu.

Kwa mujibu wa Mwanasheria Madeline Singas kutoka Nassau amesema Jelana anauwezekano wa kukumbana na hukumu ya kifungo cha miaka 25 jela.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents