Burudani

Kala Jeremiah kuja na ‘Natabiri’ aliyomshirikisha Walter Chilambo

Ni zaidi ya miezi saba imepita mashabiki hawajasikia ngoma mpya kutoka kwa Kala Jeremiah – Je unatamani kusikia ngoma mpya kutoka kwa msanii huyo?

Baada ya ukimya huo mkubwa, msanii huyo kupitia mtandao wa Instagram ameweka cover ya video ya wimbo wake mpya ambao anatarajia kuachia muda sio mrefu.

Kupitia mtandao huo Kala ametaja jina la wimbo huo ambao utaitwa ‘Natabiri’ na amemshirikisha Walter Chilambo. Ngoma imetayarishwa na Zest wakati video imeongozwa na Pablo na Edu.

NINAYO FURAHA KUBWA KUWATAARIFU WAPENZI WA MUZIKI MZURI KUWA NATARAJIA KUACHIA WIMBO WANGU MPYA UNAOKWENDA KWA JINA LA #NATABIRI WIMBO HUU NIMEMSHIRIKISHA @walterchilambotz WIMBO UMEANDALIWA NA @zestmojamoja_recs NA VIDEO YAKE IMETENGENEZWA NA SAIMAL PICTURES. KWA MAELEZO ZAIDI UNAWEZA KU FOLLOW ACCOUNT MAALUMU YA WIMBO HUU @natabiri
ASANTENI SANA.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents