Burudani

Kala Jeremiah: Ubunge sifikirii, natamani kuwa Rais, na Mwana FA na Sugu watakuwa mawaziri wangu (Video)

Msanii wa muziki wa hip hop Kala Jeremiah amedai anaamini akipata nafasi ya kuwa Rais ataweza kufanya vitu vingi kwaajili ya jamii tofauti na nafasi ya Ubunge.

Pia rapa huyo amedai kama angepata nafasi hiyo basi Roma Mkatoliki, Professor Jay pamoja na Mwana FA watakuwa mawaziri wake.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents