Burudani
Kalala Junior : Corona imetuathiri sana, tunaomba serikali ituruhusu tufanye shows (Video)
Msanii wa muziki wa Bendi Kalala Junior amesema wanaiomba serikali wapige shows kwa style ya tofauti ili kujinasua na hali ya uchumi katika kipindi hichi cha Corona.