Burudani

Kalapina adai ‘Good Time’ aliyomshirikisha Ommy Dimpoz imemuongezea mashabiki wa kike

Msanii nguli wa Hip hop hapa Bongo, Kalapina amesema anaona ngoma yake mpya ya ‘Good Time’ aliyomshirikisha Ommy Dimpoz imemletea mashabiki wapya wa kike.

kkk_0

Kalapina amesema hayo wakati akiongea na ENews ya EATV.

“Unajua kwa muda mrefu sikuwa nimehusisha ngoma ya mapenzi katika kazi zangu ila baada ya kuamua kufanya kazi ya aina hiyo na kumshirikisha mwana Bongo Flava, Ommy Dimpoz, naweza kusema kuwa rekodi hii imekuwa ni ngoma ya hip hop inayochezwa na pia kununuliwa mtandaoni zaidi.”

Related Articles

Leave a Reply

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents