Burudani

Kamanda Mambosasa afunguka kukamatwa kwa Soudy Brown na Maua Sama (Audio)

Polisi inamshikiria mtangazaji Soudy Brown na mwanamuziki a kwa kosa la uharibifu wa mali. Inadaiwa wameonekana mtandaoni wakirusha hela na kuzikanyaga. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar, Mambosasa amefunguka kuzungumzia sakata hilo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents