Burudani ya Michezo Live

Kamati kuu ya CHADEMA kutoa mapendekezo yao leo, juu ya mgombea Urais kabla ya kuwasilishwa baraza kuu kesho

Leo Agosti 2, 2020 Kamati kuu ya CHADEMA inakaa kikao ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya kutoa mapendekezo yao kutokana na utafiti waliofanya wa wagombea kwa upande wa Urais wa Tanzania Bara na Zanzibar na kuyawasilisha katika kikao cha Baraza kuu kitakachofanyika kesho.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW