Habari
Kamati teule za Spika Ndugai kuwasilisha ripoti zao
Jumamosi hii asubuhi kamati mbili teule za Spika wa Bunge la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, zilizoundwa kuchunguza na kushauri sekta za uvuvi wa bahari kuu na gesi asilia zitawasilisha ripoti zao.
Soma taarifa hiyo hapa chini.