Burudani ya Michezo Live

Kamati ya nidhamu TFF yamfungia Bernard Morrison, Mkude

Kamati ya nidhamu ya TFF imewafungia mechi mbili kila mmoja na faini ya laki tano.500,000), mchezaji Bernard Morrisonna Jonas Mkude kutokana na vitendo ambavyo si vya kiungwana.

Jonas Mkude anaingia kwenye adhabu hii baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wa Biashara United ya Mara.

Huku Bernard Morrison naye akiingia katika adhabu hii baada ya kumpiga kiwiko mchezaji wa Tanzania Prisons ya Mbeya.

Adhabu hizi zinaanza mara moja kuanzia michezo ya leo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW