Habari

Kamati ya uchunguzi yabaini uozo Airtel (+Video)

By  | 

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango leo, amewasilisha taarifa ya Kamati aliyoiunda kuchunguza umiliki wa kampuni ya Airtel kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.Ambapo mpaka sasa Kamati hiyo imebaini uozo uliokuwa unafanywa na kampuni hiyo: Tazama video hii Dkt. Philip akitoa ufafanuzi.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments