Kamishna wa Magereza atimuliwa kikaoni na Waziri Lugola Kisa? (+video)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amemfukuza kwenye kikao Kamishna Mkuu wa Magereza, Juma Malewa kwa kuchelewa.

Lugola amemfukuza Dkt Malewa leo Julai 6, saa tano asubuhi ikiwa ni dakika chache baada ya kikao chake kuanza.

Hata hivyo Lugola alisema ifikapo saa saa 5 kamili, mlango ufungwe na asiingie mtu katika mkutano huo isipokuwa waandishi wa habari tu, Ilivyofika saa 5:1 mlango ulifunguliwa ili Dk Malewa aingie.

Licha ya Dk Malewa kuomba msamaha zaidi ya mara moja , Lugola alikataa.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW