Burudani

Kampeni ya Amka Kijana ya Bongo Movie yaacha historia Iringa (Video)

By  | 

Tamasha la Amka Vijana la wasanii wa filamu nchini limefanikiwa kwa kiasi kikubwa baada ya kuhudhuriwa na watu wengi mkoani humo. Msanii wa muziki wa singeli, Dulla Makabila alikuwa mmoja kati ya wasanii waliofanya vizuri hali iliyomfanya DC wa Iringa, Richard Kasesela kuinuka na kuanza kuonyesha uwezo wake wakucheza singeli.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments