HabariSiasa

Kampeni Zaanza Rasmi!

 

Kampeni za uchaguzi zimeanza Tanzania leo rasmi, ambapo wagombea mbalimbali wameanza mikutano ya hadhara na wananchi kuji’nadi’ wakitafuta kura za Uchaguzi uliopangwa kuwa Oktoba 31,2010.

Bongo5 inawatakia wagombea wote kil la Kheri na kuwakumbusha Watanzania wote jukumu letu la Kupiga Kura mgombe anayestahili na kufaa.

VOTE VOTE VOTE!

Mungu Ibariki Tanzania.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents