Bongo Movie

Kampeni zimewaokoa wasanii wa filamu, wengi walikuwa na hali ngumu ya kiuchumi – Mwakifamba

Rais wa Shirikisho la filamu Tanzania (TAFF) Simon Mwakifwamba amesema ameshikwa na huzuni baada ya kushuhudia maisha ya wasanii wa filamu yakishuka ghafla kutokana na kazi zao kutowaingizia fedha.

Raisi wa shirikisho la filamu Mwakifamba

Mwakifamba ameuambia mtandao wa FilamuCentral kuwa wasanii wengi wamekosa msaada kutokana na kukosa sehemu ya kuuza kazi zao na kwamba kampeni zimeokoa jahazi.

“Tasnia ya filamu imeyumba sana sababu ya mfumo wa usambazaji ulivyo, maisha ya wasanii wetu yanasikitisha kwani lazima wauze haki zao za filamu ili wapate pesa, mnunuzi hanunui tena, tushukuru kampeni hizi angalau wapo busy,” alisema.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents