Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Kampuni ya Apple watimiza miaka 10 ya bidhaa zao na kuzindua iPhone X

Kampuni ya vifaa vya kieletrinia ya Apple imesherekea miaka kumi ya kuwepo wa bidhaa zao, na wameweza kuzindua simu za iPhone 8, iPhone 8 Plus pamoja na iPhone X.

Kwa upande wa iPhone X hii inakadiriwa kuuzwa kuanzia kiasi cha dola 999, na zitaanza kuuzwa rasmi mwezi Novemba 3 mwaka huu ila unaweza kufanya manunuzi ya wali  kuanzia Oktoba 27.

iPhone X itapatikana kwa rangi ya gray na silver pia itakuwa na kioo kipya kijulikanacho kama Apple calls a Super Retina chenye ukubwa wa inchi 5.8- na saizi ya 2,436-by-1,135. Hii ndio simu ya kwanza ya kutoka  ya iphone pekee kutokuwa na kitufe cha nyumbani na unaweza kufungua kwa kuitazama.

 

 

Kwa upande wa kamera iphone X ipo vizuri kama iPhone 8 Plus yenye kamera mbili na ila megapixel 12 nyuma na kwa mbele ila megapixel 7.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW